-
Yoshua 16:5, 6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Na huu ndio mpaka wa wazao wa Efraimu kulingana na koo zao: Mpaka wa urithi wao upande wa mashariki ulikuwa Ataroth-adari,+ hadi Beth-horoni ya Juu,+ 6 na mpaka huo ulifika kwenye bahari. Mikmethathi+ ilikuwa upande wa kaskazini, na mpaka huo ulizunguka upande wa mashariki hadi Taanath-shilo, kuelekea upande wa mashariki hadi Yanoa.
-