Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 9:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Yeyote anayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake mwenyewe itamwagwa+ na mwanadamu, kwa maana Mungu alimuumba mwanadamu+ kwa mfano Wake.

  • Kutoka 21:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Lakini kifo kikitokea, basi ni lazima mlipe uhai kwa uhai,*+

  • Hesabu 35:26, 27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 “‘Lakini muuaji akitoka nje ya mpaka wa jiji la makimbilio alimokimbilia, 27 kisha mtu anayelipiza kisasi cha damu ampate nje ya mpaka wa jiji la makimbilio na kumuua, mtu huyo anayelipiza kisasi cha damu hatakuwa na hatia ya damu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki