-
Mwanzo 17:9-11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Mungu akaendelea kumwambia Abrahamu: “Wewe nawe, unapaswa kushika agano langu, wewe na uzao wako* baada yako katika vizazi vyao vyote. 10 Hili ndilo agano langu nililofanya pamoja nawe, ambalo wewe na uzao wako* baada yako mtalishika: Kila mwanamume miongoni mwenu ni lazima atahiriwe.+ 11 Ni lazima mtahiri nyama ya magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati yangu nanyi.+
-