Mambo ya Walawi 26:7, 8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Nanyi hakika mtawakimbiza maadui wenu na kuwaua kwa upanga. 8 Watu watano kati yenu watawakimbiza maadui 100, na 100 watawakimbiza 10,000; mtawaua maadui wenu kwa upanga.+
7 Nanyi hakika mtawakimbiza maadui wenu na kuwaua kwa upanga. 8 Watu watano kati yenu watawakimbiza maadui 100, na 100 watawakimbiza 10,000; mtawaua maadui wenu kwa upanga.+