Waamuzi 8:8, 9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Naye akatoka huko na kwenda Penueli, akawaomba pia mikate, lakini watu wa Penueli wakamjibu kama watu wa Sukothi walivyomjibu. 9 Basi akawaambia pia watu wa Penueli, “Nitakaporudi baada ya kushinda, nitaubomoa mnara huu.”+
8 Naye akatoka huko na kwenda Penueli, akawaomba pia mikate, lakini watu wa Penueli wakamjibu kama watu wa Sukothi walivyomjibu. 9 Basi akawaambia pia watu wa Penueli, “Nitakaporudi baada ya kushinda, nitaubomoa mnara huu.”+