-
Waamuzi 9:28, 29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Ndipo Gaali mwana wa Ebedi akasema, “Abimeleki ni nani, na Shekemu ni nani ili tumtumikie? Je, yeye si mwana wa Yerubaali,+ na je, Zebuli si mjumbe wake? Watumikieni wana wa Hamori, baba ya Shekemu! Kwa nini tumtumikie Abimeleki? 29 Laiti watu hawa wangekuwa chini ya amri yangu, ningemwondoa Abimeleki.” Kisha akamwambia hivi Abimeleki: “Ongeza jeshi lako, uje tupigane.”
-