Mwanzo 24:32 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 32 Ndipo mwanamume huyo akaingia ndani ya nyumba, naye* akawafungua ngamia na kuwapa nyasi na chakula cha mifugo na kuleta maji ya kuosha miguu yake na miguu ya wanaume waliokuwa pamoja naye.
32 Ndipo mwanamume huyo akaingia ndani ya nyumba, naye* akawafungua ngamia na kuwapa nyasi na chakula cha mifugo na kuleta maji ya kuosha miguu yake na miguu ya wanaume waliokuwa pamoja naye.