-
Waamuzi 19:25, 26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Lakini wanaume hao hawakumsikiliza, basi yule mtu akamtoa nje kwa nguvu suria* wake.+ Wakambaka na kumtendea vibaya usiku kucha mpaka asubuhi. Kisha kulipopambazuka wakamwacha aende zake. 26 Asubuhi na mapema, mwanamke huyo akaja kwenye nyumba ya yule mtu alimokuwa bwana wake, akaanguka chini mlangoni, akalala hapo mpaka kulipopambazuka.
-