Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 20:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Basi Finehasi+ mwana wa Eleazari, mwana wa Haruni, alikuwa akihudumu* mbele ya sanduku hilo siku hizo. Wakamuuliza, “Je, twende tena kupigana na ndugu zetu Wabenjamini, au tusiende?”+ Yehova akawajibu hivi: “Nendeni, kwa sababu kesho nitawatia mikononi mwenu.”

  • Waamuzi 20:48
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 48 Na wanaume Waisraeli wakarudi kuwashambulia Wabenjamini na kuwaua kwa upanga watu wote waliokuwa jijini pamoja na mifugo, kila kitu kilichobaki. Pia, waliteketeza kwa moto majiji yote katika maeneo waliyopitia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki