Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 23:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Hawapaswi kuishi katika nchi yenu, wasije wakasababisha mnitendee dhambi. Mkiiabudu miungu yao, kwa hakika itakuwa mtego kwenu.”+

  • Kumbukumbu la Torati 7:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Mtayaangamiza* mataifa yote ambayo Yehova Mungu wenu atayatia mikononi mwenu.+ Msiwahurumie*+ kamwe, nanyi msiabudu kamwe miungu yao,+ kwa sababu jambo hilo litakuwa mtego kwenu.+

  • 1 Wafalme 11:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Walitoka katika mataifa ambayo Yehova alikuwa amewaambia hivi Waisraeli kuyahusu: “Hampaswi kuingia miongoni mwao,* nao hawapaswi kuingia miongoni mwenu; kwa maana kwa hakika wataigeuza mioyo yenu ifuate miungu yao.”+ Lakini Sulemani alishikamana nao na kuwapenda.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki