Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 34:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Lakini mtabomoa madhabahu zao, mtazivunjavunja nguzo zao takatifu, na kuikata miti yao mitakatifu.*+

  • Kumbukumbu la Torati 12:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Mnapaswa kubomoa madhabahu zao, kuvunjavunja nguzo zao takatifu,+ kuteketeza kwa moto miti yao mitakatifu,* na kukatakata sanamu za kuchongwa za miungu yao,+ na kuondoa kabisa majina ya miungu yao kutoka sehemu hizo.+

  • Kumbukumbu la Torati 16:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 “Msipande mti wa aina yoyote na kuufanya kuwa mti mtakatifu*+ karibu na madhabahu ya Yehova Mungu wenu ambayo mtajitengenezea.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki