-
Ruthu 1:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Baada ya muda, Elimeleki mume wa Naomi akafa, naye akabaki na wanawe wawili.
-
-
Ruthu 1:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Kisha wana hao wawili, Maloni na Kilioni wakafa pia, Naomi akabaki bila watoto wake wawili na bila mume wake.
-