Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ruthu 1:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 1 Basi katika siku ambazo waamuzi+ walikuwa wakitekeleza hukumu,* kulikuwa na njaa kali nchini; na mwanamume fulani akatoka Bethlehemu+ huko Yuda akahamia katika mashamba ya* Moabu akiwa mgeni,+ yeye, pamoja na mke wake, na watoto wake wawili wa kiume. 2 Mwanamume huyo aliitwa Elimeleki,* na mke wake aliitwa Naomi,* na watoto wake wawili waliitwa Maloni* na Kilioni.* Walikuwa Waefrathi kutoka Bethlehemu nchini Yuda. Wakafika katika mashamba ya Moabu na kuishi huko.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki