Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 17:14, 15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “Mtakapoingia katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa, mkaimiliki na kuishi humo, nanyi mseme, ‘Na tumweke mfalme juu yetu kama mataifa yote yanayotuzunguka,’+ 15 mnapaswa kumweka mfalme ambaye Yehova Mungu wenu atamchagua.+ Mnapaswa kumchagua mfalme kutoka miongoni mwa ndugu zenu. Hamruhusiwi kumweka mfalme ambaye ni mgeni, ambaye si ndugu yenu.

  • 1 Samweli 12:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Sasa huyu ndiye mfalme mliyemchagua, mliyeomba. Tazameni! Yehova amemweka mfalme awatawale.+

  • Matendo 13:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Lakini baadaye wakaomba wapewe mfalme,+ na Mungu akawapa Sauli mwana wa Kishi, mwanamume wa kabila la Benjamini,+ kwa miaka 40.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki