-
1 Samweli 9:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Mara tu mtakapoingia jijini, mtamkuta kabla hajapanda kwenda mahali pa juu kula chakula. Watu hawatakula mpaka atakapofika, kwa maana yeye ndiye anayebariki dhabihu. Baada ya kufanya hivyo, wale walioalikwa wanaweza kula. Basi pandeni sasa moja kwa moja, mtamkuta.”
-
-
1 Samweli 9:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Basi mpishi akainua ule mguu na nyama iliyokuwa juu yake, akauweka mbele ya Sauli. Samweli akasema: “Kilichokuwa kimehifadhiwa kimewekwa mbele yako. Kula, kwa maana kilihifadhiwa kwa ajili yako katika karamu hii. Kwa sababu niliwaambia, ‘Nimewaalika wageni.’” Basi Sauli akala pamoja na Samweli siku hiyo.
-