-
Kutoka 22:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Kama mnyama aliyeibwa anapatikana akiwa hai mikononi mwake, awe ni ng’ombe dume au punda au kondoo, anapaswa kulipa mara mbili.
-
-
Mambo ya Walawi 6:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Ikiwa ametenda dhambi naye ana hatia, ni lazima arudishe kitu alichoiba, kitu alichochukua kwa nguvu, kitu alichochukua kwa ulaghai, kitu alichokabidhiwa atunze, au kitu kilichopotea akakipata,
-