-
1 Samweli 14:4, 5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Basi kati ya njia ambazo Yonathani alijaribu kutumia kuvuka ili afike kwenye kituo cha ulinzi cha Wafilisti, kulikuwa na mwamba ulio na umbo la jino upande huu na mwamba mwingine ulio na umbo la jino upande wa pili; mwamba mmoja uliitwa Bosesi, na mwamba wa pili uliitwa Sene. 5 Mwamba mmoja ulikuwa nguzo upande wa kaskazini ng’ambo ya Mikmashi, na wa pili ulikuwa upande wa kusini ng’ambo ya Geba.+
-