-
Mwanzo 24:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Na itukie kwamba msichana nitakayemwambia, ‘Tafadhali, ushushe mtungi wako ili ninywe maji,’ naye aseme, ‘Kunywa, nami nitawanywesha ngamia wako pia,’ na awe ndiye uliyemchagulia mtumishi wako, Isaka; na kwa jambo hilo acha nijue kwamba umemtendea bwana wangu kwa upendo wako mshikamanifu.”
-
-
1 Samweli 10:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Baada ya ishara hizo kutokea, fanya lolote unaloweza kufanya kwa mkono wako, kwa sababu Mungu wa kweli yuko pamoja nawe.
-