Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 16:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Basi akamtuma mtu amwite, Yese akamleta ndani. Kijana huyo alikuwa mwekundu, mwenye macho yanayovutia, na mwenye sura nzuri.+ Ndipo Yehova akasema: “Simama, mtie mafuta, kwa maana huyu ndiye!”+

  • 1 Samweli 17:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Lakini Sauli akamwambia Daudi: “Huwezi kwenda kupigana na huyo Mfilisti, kwa sababu wewe ni mvulana tu,+ naye amekuwa mwanajeshi* tangu alipokuwa kijana.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki