1 Samweli 16:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Kwa hiyo Daudi akafika kwa Sauli na kuanza kumtumikia.+ Sauli akampenda sana, naye Daudi akawa akimbebea silaha zake. 1 Samweli 18:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Kuanzia siku hiyo, Sauli akamchukua Daudi, naye hakumruhusu arudi nyumbani kwa baba yake.+ 1 Samweli 18:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Kwa hiyo Sauli akamwondoa nyumbani mwake na kumweka kuwa mkuu wa elfu, basi Daudi alikuwa akiliongoza jeshi vitani.*+
21 Kwa hiyo Daudi akafika kwa Sauli na kuanza kumtumikia.+ Sauli akampenda sana, naye Daudi akawa akimbebea silaha zake.
13 Kwa hiyo Sauli akamwondoa nyumbani mwake na kumweka kuwa mkuu wa elfu, basi Daudi alikuwa akiliongoza jeshi vitani.*+