1 Samweli 18:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Daudi akaanza kwenda vitani, naye alifanikiwa*+ popote alipotumwa na Sauli. Basi Sauli akamweka asimamie wanajeshi vitani,+ na jambo hilo likawafurahisha watu wote na pia watumishi wa Sauli. 1 Samweli 18:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Kwa hiyo Sauli akamwondoa nyumbani mwake na kumweka kuwa mkuu wa elfu, basi Daudi alikuwa akiliongoza jeshi vitani.*+
5 Daudi akaanza kwenda vitani, naye alifanikiwa*+ popote alipotumwa na Sauli. Basi Sauli akamweka asimamie wanajeshi vitani,+ na jambo hilo likawafurahisha watu wote na pia watumishi wa Sauli.
13 Kwa hiyo Sauli akamwondoa nyumbani mwake na kumweka kuwa mkuu wa elfu, basi Daudi alikuwa akiliongoza jeshi vitani.*+