-
Mwanzo 20:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Kisha Mungu wa kweli akamwambia katika ndoto: “Ninajua kwamba ulifanya jambo hili kwa moyo mnyoofu, kwa hiyo nilikuzuia usinitendee dhambi. Ndiyo sababu sikukuruhusu umguse.
-