-
Waamuzi 19:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Basi wakaendelea na safari, na jua likaanza kutua walipokaribia Gibea, jiji la Wabenjamini.
-
-
1 Samweli 10:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Sauli pia akaenda nyumbani kwake kule Gibea, akiwa pamoja na mashujaa ambao Yehova alikuwa amegusa mioyo yao.
-