1 Samweli 17:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 Daudi akaanza kuwauliza wanaume waliokuwa wamesimama karibu naye: “Mtu atakayemuua yule Mfilisti na kuwaondolea Waisraeli aibu atafanyiwa nini? Kwani huyu Mfilisti asiyetahiriwa ni nani hata avitukane* vikosi vya Mungu aliye hai?”+ 2 Samweli 1:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 Msiseme jambo hilo kule Gathi;+Msilitangaze katika barabara za Ashkeloni,Mabinti wa Wafilisti wasije wakashangilia,Mabinti wa watu wasiotahiriwa wasije wakafurahi.
26 Daudi akaanza kuwauliza wanaume waliokuwa wamesimama karibu naye: “Mtu atakayemuua yule Mfilisti na kuwaondolea Waisraeli aibu atafanyiwa nini? Kwani huyu Mfilisti asiyetahiriwa ni nani hata avitukane* vikosi vya Mungu aliye hai?”+
20 Msiseme jambo hilo kule Gathi;+Msilitangaze katika barabara za Ashkeloni,Mabinti wa Wafilisti wasije wakashangilia,Mabinti wa watu wasiotahiriwa wasije wakafurahi.