Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Mambo ya Nyakati 11:4-6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Baadaye Daudi na Waisraeli wote wakaenda Yerusalemu, yaani, Yebusi,+ ambako Wayebusi+ walikuwa wakiishi. 5 Wakaaji wa Yebusi walimdhihaki Daudi wakisema: “Hutaingia humu kamwe!”+ Hata hivyo, Daudi aliiteka ngome ya Sayuni,+ ambayo sasa ni Jiji la Daudi.+ 6 Kwa hiyo Daudi akasema: “Yeyote atakayekuwa wa kwanza kuwashambulia Wayebusi atakuwa kiongozi* na mkuu.” Basi Yoabu+ mwana wa Seruya akawa wa kwanza kupanda huko kuwashambulia, akawa kiongozi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki