-
1 Samweli 18:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Yonathani akavua joho lake lisilo na mikono na kumpa Daudi, pamoja na silaha zake, upanga wake, upinde wake, na mshipi wake.
-
-
1 Samweli 20:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Kisha nitapiga mishale mitatu upande mmoja wa jiwe hili kana kwamba ninalenga shabaha fulani.
-