-
2 Samweli 13:12-14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Lakini Tamari akamwambia: “Usifanye hivyo ndugu yangu! Usiniabishe, kwa maana jambo kama hili halipaswi kufanywa katika Israeli.+ Usitende jambo hili la aibu.+ 13 Nitaondoaje aibu yangu? Nawe utaonwa kuwa kama mmojawapo wa wanaume wapumbavu katika Israeli. Sasa, tafadhali, ongea na mfalme, kwa maana hatakukataza unichukue.” 14 Lakini Amnoni akakataa kumsikiliza, akamzidi nguvu Tamari na kumwaibisha kwa kumbaka.
-