-
2 Samweli 9:3-5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Mfalme akaendelea kumuuliza: “Je, kuna yeyote aliyebaki katika nyumba ya Sauli ninayeweza kumtendea kwa upendo mshikamanifu wa Mungu?” Siba akamjibu hivi mfalme: “Bado kuna mwana mmoja wa Yonathani; amelemaa miguu yote miwili.”*+ 4 Mfalme akamuuliza: “Yuko wapi?” Siba akamjibu mfalme: “Yuko katika nyumba ya Makiri+ mwana wa Amieli kule Lo-debari.”
5 Mara moja Mfalme Daudi akaagiza aletwe kutoka katika nyumba ya Makiri mwana wa Amieli kule Lo-debari.
-