Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 15:27, 28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Samweli alipokuwa akigeuka aende zake, Sauli akaushika upindo wa joho lake lisilo na mikono, lakini likararuka. 28 Ndipo Samweli akamwambia: “Yehova ameurarua ufalme wa Israeli kutoka kwako leo, naye atampa mwenzako aliye bora kuliko wewe.+

  • 1 Samweli 24:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Akamwambia Daudi: “Wewe ni mwadilifu kuliko mimi, kwa maana umenitendea mema lakini mimi nimekulipa kwa uovu.+

  • 1 Samweli 24:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Sasa tazama! Najua kwa hakika kwamba utatawala ukiwa mfalme+ na kwamba ufalme wa Israeli utadumu mikononi mwako.

  • 1 Samweli 26:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Sauli akamwambia Daudi: “Ubarikiwe, mwanangu Daudi. Hakika utatenda mambo makubwa, na hakika utashinda.”+ Kisha Daudi akaenda zake, na Sauli akarudi kwake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki