Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 9:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Mfalme akaendelea kumuuliza: “Je, kuna yeyote aliyebaki katika nyumba ya Sauli ninayeweza kumtendea kwa upendo mshikamanifu wa Mungu?” Siba akamjibu hivi mfalme: “Bado kuna mwana mmoja wa Yonathani; amelemaa miguu yote miwili.”*+

  • 2 Samweli 9:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Mefiboshethi mwana wa Yonathani mwana wa Sauli alipofika mbele ya Daudi, mara moja alianguka chini kifudifudi na kumwinamia. Daudi akasema: “Mefiboshethi!” naye akajibu: “Mimi hapa, mtumishi wako.”

  • 2 Samweli 16:3, 4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Mfalme akamuuliza: “Na mwana wa bwana wako yuko wapi?”+ Siba akamwambia mfalme: “Yuko Yerusalemu, kwa maana alisema, ‘Leo nyumba ya Israeli itanirudishia utawala wa kifalme wa baba yangu.’”+ 4 Ndipo mfalme akamwambia Siba: “Tazama! Mali yote ya Mefiboshethi ni yako.”+ Siba akasema: “Nainama mbele yako. Acha nipate kibali machoni pako, bwana wangu mfalme.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki