Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 8:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Ndipo watu wa Efraimu wakamuuliza Gideoni, “Kwa nini umetutendea hivi? Kwa nini hukutuita ulipoenda kupigana na Wamidiani?”+ Nao wakamshutumu vikali.+

  • Waamuzi 12:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Watu wa kabila la Efraimu wakaitwa, nao wakavuka na kufika Zafoni,* wakamuuliza Yeftha, “Kwa nini hukutuita ulipovuka kwenda kupigana na Waamoni?+ Tutakuteketeza pamoja na nyumba yako.”

  • 2 Samweli 19:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Mfalme akaanza safari ya kurudi, akafika Yordani, na watu wa Yuda wakaja Gilgali+ ili kumpokea mfalme na kumsindikiza kuvuka Yordani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki