1 Samweli 22:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Baada ya muda nabii Gadi+ akamwambia Daudi: “Usikae ndani ya ngome. Ondoka humo uende katika nchi ya Yuda.”+ Kwa hiyo Daudi akaondoka na kwenda katika msitu wa Herethi. 1 Mambo ya Nyakati 29:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Historia ya Mfalme Daudi, kuanzia mwanzo mpaka mwisho, imeandikwa katika maandishi ya mwonaji Samweli, nabii Nathani,+ na mwonaji Gadi,+
5 Baada ya muda nabii Gadi+ akamwambia Daudi: “Usikae ndani ya ngome. Ondoka humo uende katika nchi ya Yuda.”+ Kwa hiyo Daudi akaondoka na kwenda katika msitu wa Herethi.
29 Historia ya Mfalme Daudi, kuanzia mwanzo mpaka mwisho, imeandikwa katika maandishi ya mwonaji Samweli, nabii Nathani,+ na mwonaji Gadi,+