Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 23:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Haya ndiyo majina ya mashujaa hodari wa Daudi:+ Yosheb-bashebethi Mtakemoni, kiongozi wa wale watatu.+ Wakati mmoja, alitumia mkuki wake kuwaua watu 800.

  • 1 Mambo ya Nyakati 11:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Sasa hawa ndio viongozi wa mashujaa hodari wa Daudi, waliomuunga mkono kwa dhati katika utawala wake, pamoja na Waisraeli wote, ili wamweke kuwa mfalme kulingana na neno alilosema Yehova kuhusu Israeli.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki