-
Methali 3:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Mwenye furaha ni mtu anayepata hekima+
Na mtu anayepata utambuzi;
-
Methali 3:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Maisha marefu yako katika mkono wake wa kulia;
Na katika mkono wake wa kushoto kuna utajiri na utukufu.
-
-
-