-
1 Mambo ya Nyakati 29:23-25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Na Sulemani akaketi kwenye kiti cha ufalme cha Yehova+ akiwa mfalme baada ya Daudi baba yake, akafanikiwa, na Waisraeli wote walimtii. 24 Wakuu wote,+ mashujaa wote hodari,+ na pia wana wote wa Mfalme Daudi+ wakajitiisha wenyewe chini ya Mfalme Sulemani. 25 Na Yehova akamfanya Sulemani kuwa mkuu sana machoni pa Waisraeli wote na kumpa fahari ya kifalme ambayo hakuna mfalme yeyote wa Israeli aliyewahi kuwa nayo kabla yake.+
-