1 Mambo ya Nyakati 6:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Ahitubu akamzaa Sadoki;+ Sadoki akamzaa Ahimaazi.+ 1 Mambo ya Nyakati 27:16, 17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Hawa ndio waliokuwa viongozi wa makabila ya Israeli: Wa kabila la Rubeni, Eliezeri mwana wa Zikri; wa kabila la Simeoni, Shefatia mwana wa Maaka; 17 wa kabila la Lawi, Hashabia mwana wa Kemueli; wa wazao wa Haruni, Sadoki;
16 Hawa ndio waliokuwa viongozi wa makabila ya Israeli: Wa kabila la Rubeni, Eliezeri mwana wa Zikri; wa kabila la Simeoni, Shefatia mwana wa Maaka; 17 wa kabila la Lawi, Hashabia mwana wa Kemueli; wa wazao wa Haruni, Sadoki;