Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 1:9, 10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Mwishowe Adoniya akawatoa dhabihu+ kondoo, ng’ombe, na wanyama waliononeshwa, kando ya jiwe la Zohelethi, lililo karibu na En-rogeli, akawaalika ndugu zake wote wana wa mfalme, na wanaume wote wa Yuda watumishi wa mfalme. 10 Lakini hakumwalika nabii Nathani, Benaya na wale mashujaa hodari, wala Sulemani ndugu yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki