Yoshua 13:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Basi Yoshua alikuwa amezeeka na umri wake ulikuwa umesonga sana.+ Kwa hiyo Yehova akamwambia, “Umezeeka na umri wako umesonga sana; na bado hamjamiliki* sehemu kubwa ya nchi. Yoshua 13:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 nchi ya Wagebali+ na nchi yote ya Lebanoni kuelekea mashariki, kuanzia Baal-gadi chini ya Mlima Hermoni hadi Lebo-hamathi;*+
13 Basi Yoshua alikuwa amezeeka na umri wake ulikuwa umesonga sana.+ Kwa hiyo Yehova akamwambia, “Umezeeka na umri wako umesonga sana; na bado hamjamiliki* sehemu kubwa ya nchi.
5 nchi ya Wagebali+ na nchi yote ya Lebanoni kuelekea mashariki, kuanzia Baal-gadi chini ya Mlima Hermoni hadi Lebo-hamathi;*+