Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 41:6, 7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Vyumba vya kando vilikuwa na ghorofa tatu, moja juu ya nyingine, na kila ghorofa ilikuwa na vyumba 30. Kulikuwa na vidato kuzunguka pande zote za ukuta wa hekalu ambavyo vilishikilia vyumba vya kando, ili vishikio visiguse ukuta wa hekalu lenyewe.+ 7 Pande zote mbili za hekalu zilikuwa na njia iliyopindapinda* ambayo ilipanuka kadiri ilivyopanda kuelekea vyumba vya juu.+ Upana uliongezeka kutoka ghorofa moja hadi nyingine kadiri mtu alivyopanda kutoka ghorofa ya chini hadi ya juu akipitia ghorofa ya katikati.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki