Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 9:27, 28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Hiramu akawatuma watumishi wake mwenyewe, mabaharia wenye uzoefu, wakafanye kazi pamoja na watumishi wa Sulemani kwenye kundi hilo la meli.+ 28 Wakaenda Ofiri,+ wakachukua talanta 420 za dhahabu na kumletea Mfalme Sulemani.

  • Zaburi 45:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  9 Mabinti wa wafalme ni miongoni mwa wanawake wako wanaoheshimiwa.

      Malkia amesimama mkono wako wa kulia, akiwa amepambwa kwa dhahabu ya Ofiri.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki