Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 9:29-31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Na mambo mengine katika historia ya Sulemani,+ kuanzia mwanzo mpaka mwisho, je, hayajaandikwa katika maandishi ya nabii Nathani,+ katika unabii wa Ahiya+ Mshilo, na katika kumbukumbu ya maono ya mwonaji Ido+ kumhusu Yeroboamu+ mwana wa Nebati? 30 Sulemani alitawala nchi yote ya Israeli kwa miaka 40 akiwa Yerusalemu. 31 Kisha Sulemani akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake. Basi wakamzika katika Jiji la Daudi baba yake;+ na Rehoboamu mwanawe akawa mfalme baada yake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki