-
Yoshua 19:48Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
48 Huo ndio uliokuwa urithi wa kabila la Dani kulingana na koo zao. Hayo ndiyo yaliyokuwa majiji na vijiji vyake.
-
-
Yoshua 21:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Na Walawi waliobaki wa koo za Wakohathi walipewa majiji kwa kura katika eneo la kabila la Efraimu.
-
-
Yoshua 21:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Na katika eneo la kabila la Dani: Elteke na malisho yake, Gibethoni na malisho yake,
-