Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 16:1-3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Kisha neno hili la Yehova dhidi ya Baasha likamjia Yehu+ mwana wa Hanani:+ 2 “Nilikuinua kutoka mavumbini na kukufanya kuwa kiongozi wa watu wangu Waisraeli,+ lakini uliendelea kutembea katika njia ya Yeroboamu na kusababisha watu wangu Waisraeli watende dhambi hivi kwamba walinikasirisha kwa dhambi zao.+ 3 Kwa hiyo ninamfagilia mbali Baasha na nyumba yake, nami nitaifanya nyumba yake kuwa kama nyumba ya Yeroboamu+ mwana wa Nebati.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki