1 Wafalme 17:2, 3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Neno hili la Yehova likamjia: 3 “Ondoka hapa, ugeuke kwenda upande wa mashariki, ujifiche katika Bonde* la Kerithi, upande wa mashariki wa Yordani.
2 Neno hili la Yehova likamjia: 3 “Ondoka hapa, ugeuke kwenda upande wa mashariki, ujifiche katika Bonde* la Kerithi, upande wa mashariki wa Yordani.