Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 44:19, 20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Hakuna mtu anayetafakari moyoni mwake

      Wala aliye na ujuzi na uelewaji, anayesema:

      “Nusu yake niliiteketeza motoni,

      Nami nimeoka mkate juu ya makaa yake na kuchoma nyama ya kula.

      Basi, je, ninapaswa kutumia sehemu inayobaki kutengeneza kitu kinachochukiza?+

      Je, ninapaswa kuabudu kipande cha mbao?”*

      20 Anakula majivu.

      Moyo wake mwenyewe uliodanganyika umempotosha.

      Hawezi kujiokoa,* wala hasemi:

      “Je, hamna uwongo katika mkono wangu wa kulia?”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki