-
1 Wafalme 14:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Mtu yeyote wa Yeroboamu atakayefia jijini, ataliwa na mbwa; na yeyote atakayefia shambani, ataliwa na ndege wa angani, kwa sababu Yehova amesema hayo.”’
-
-
1 Wafalme 16:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Mtu yeyote wa nyumba ya Baasha anayefia jijini ataliwa na mbwa; na mtu yeyote wa nyumba yake anayefia shambani ataliwa na ndege wa angani.”
-