-
2 Wafalme 2:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Kisha wana wa manabii waliokuwa Yeriko wakaenda kwa Elisha na kumuuliza: “Je, unajua kwamba leo Yehova anamchukua bwana wako asiwe kiongozi juu yako?” Ndipo akajibu: “Tayari najua. Nyamazeni.”
-