Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 1:11, 12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Ndipo Daudi akashika mavazi yake na kuyararua, na watu wote waliokuwa pamoja naye wakafanya vivyo hivyo. 12 Nao wakaomboleza na kulia na kufunga+ mpaka jioni kwa ajili ya Sauli, kwa ajili ya Yonathani mwanawe, kwa ajili ya watu wa Yehova, kwa ajili ya nyumba ya Israeli,+ kwa sababu walikuwa wameuawa kwa upanga.

  • Ayubu 1:19, 20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Kwa ghafla upepo mkali ukaja kutoka nyikani, ukapiga pembe nne za nyumba hiyo, ikawaangukia vijana hao, nao wakafa. Nimeponyoka mimi peke yangu, nami nimekuletea habari.”

      20 Ndipo Ayubu akasimama, akararua vazi lake na kunyoa nywele za kichwa chake; kisha akaanguka chini, akainama

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki