-
Yoshua 23:12, 13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 “Lakini mkimwacha na kushikamana na watu wa mataifa haya yaliyobaki+ na kuoana nao+ na kushirikiana nao, 13 mjue kwa hakika kwamba Yehova Mungu wenu hataendelea kuyafukuza* mataifa haya kwa ajili yenu.+ Yatakuwa mtego wa kuwanasa, nayo yatakuwa mjeledi wa kuwachapa mbavuni+ na miiba machoni mwenu mpaka mtakapoangamia kutoka katika nchi hii nzuri ambayo Yehova Mungu wenu amewapa.
-
-
Isaya 42:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Ni nani aliyemtia Yakobo mikononi mwa watekaji nyara
Na Israeli mikononi mwa waporaji?
Je, si Yehova, Yule ambaye tumemtendea dhambi?
-