2 Wafalme 15:30 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 30 Kisha Hoshea+ mwana wa Ela akapanga njama dhidi ya Peka mwana wa Remalia, akampiga na kumuua; naye akawa mfalme baada yake katika mwaka wa 20 wa utawala wa Yothamu+ mwana wa Uzia. 2 Wafalme 17:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Katika mwaka wa 12 wa utawala wa Mfalme Ahazi wa Yuda, Hoshea+ mwana wa Ela akawa mfalme wa Israeli huko Samaria; alitawala kwa miaka tisa.
30 Kisha Hoshea+ mwana wa Ela akapanga njama dhidi ya Peka mwana wa Remalia, akampiga na kumuua; naye akawa mfalme baada yake katika mwaka wa 20 wa utawala wa Yothamu+ mwana wa Uzia.
17 Katika mwaka wa 12 wa utawala wa Mfalme Ahazi wa Yuda, Hoshea+ mwana wa Ela akawa mfalme wa Israeli huko Samaria; alitawala kwa miaka tisa.